RAHA
Raha Ni hali ya kutokujuta, kuhisimaumivu,manunguniko,kutengwa na magonjwa n.k.
Asili ya raha ni Mungu mwenyewe.
Waebrania4:4-7
Imani ndio msingi wa Mkristo yeyote na ndio ufunguo wa kuingilia rahani .
Warumi 10:10
Makao ya Mungu kwa Mwanadamu ni moyo.
Waebrania 3:7-14
Mungu alipomuumba mtu aliumba mtu Mwanamke na Mwanaume akawabariki, Mungu akawambia zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi na kuitiisha mkatawale Samaki wa Baharini na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mwazo 1:27-28
Shaidi wa kwanza wa starehe ya Mwanadamu ni Malaika na ndipo uasi ulipotakea Mbinguni.
Ufunuo 12:1-7
Siri iliyo sababisha kutokea uasi Mbinguni ni upekee na nafasi aliyo umbiwa Mwanadamu.
Mungu hakumuumbia mtu shida,maumivu,magonjwa bali adui ndie aliyeleta.
Moja ya vitu Mungu aliwaficha Malaika ni siri ya uumbaji,Malaika walijua wazo la Mungu juu ya kufanyanywa kwa Mwanadamu na sio kuumbwa.
Mwanzo1:26
Baada ya utukufu wa Mungu unafuata wa Mwanadamu wa mwisho ni wa Malaika kwa hiyo Malaika wali uumbwa kumtumikia Mungu na Mwanadamu.
Mungu haja uumba mtu kwa bahati mbaya wala mungu hafurahi kuona mtu anapata shida au analia mpango wa mungu ni kukuona unafuraha na unakaa kwenye nafasi yako ndio maana ili mlazimu kuuacha enzi na malaka yake mbingu na kuja duniani kurejesha nafasi ambayo mwanadamu alipoteza Edeni.

No comments:
Post a Comment