NGUVU YA MSAMAHA - MrPeacePaul
NGUVU YA MSAMAHA

NGUVU YA MSAMAHA

Share This
NGUVU YA MSAMAHA
=>Neema ya kristo ndiyo inayo tusaidia tuwezesha  kusamehe bila neema ya kristro kusamehe kwa akili za kibinadamu hatuwazi.
=>Mungu anashangaa kuona Duniani kuna watu wana vidonda na kanisani pia kuna watu wana vidonda na wanatembea huku mioyo inavuja damu ndani yao.
=>Kuna watu kazi yao ni kusababisha moyo wa mtu uvuje damu  ila waosioshida shida ni mtu  kuruhusu moyo kuvuja damu  jifunze kusamehe na kuachilia ili moyo usivuje damu.
FAIDA ZA KUSAMEHE NA KUACHILIA
1.Mtu akisamehe na yeye pia anasamehewa na Mungu ila asipo samehe hata yeye hasamehewi na Mungu.
Mathayo 6:12-14
2.Mtu akisamehe maombi yake  yana jibiwa na kusikilizwa na Mungu bali asipo samehe maombi yake ni kelele mbele za Mungu.
Mathayo 5:21-24
NJIA ZINAZO TUMIKA KUJERUHU
=>Kuona – Mtu anacho kiona ndicho kinacho  athili moyo wa mtu.
=>Kusikia –Inapaswa kuuilinda na unacho kisikia kwani sio kila kitu ni cha kusikiliza.
Mithali 4:24-24
DALILI ZA KUSIBITISHA YA  KUWA KWELI UMESAMEHE NA KUACHILIA
1.Wakati unapo kutanaye aliye kukosea au kuumiza onesha kweli umesamehe na kuachilia.
2.Jinsi unavyo mzungumzia kwa watu Yule mtu  uliyemsamehe vizuri au vibaya.
3.Unavyokumbushia yale aliyokufanyia inaonesha hauja samehe inakupasa kutokukumbushia yaliyopita.

No comments:

Post a Comment

Pages