KUJUA NAMNA MUNGU ANAVYO ONGEA
Mathayo 7: 21
“Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana ..…..”
NJIA AMBAZO MUNGU HUTUMIA KUZUNGUZA NA MTU
1.Ndoto
2.Biblia
3.Mtumishi wake.n.k
VITU VYA KUZINGATIA ILI MUNGU ASEME NA MTU
1.Ladhima uwe na kiuu ya kutaka kitu kutoka kwa Mungu au Mungu aseme na wewe.
2.Jifunze kuaanda mazimgira ya Mungu kusema na wewe. Mfano kuomba,kutafakiri vile Mungu alivyo.
Ezekieri 2:1-2
3.Jifunze kuujaza moyo wako neno la Mungu.
Mfano. Anza kusoma maandiko Matakatifu ya Mungu.
=>Tuna ujaza moyo neno la Mungu ili kusikia na kuelewa Mungu anaposema.
=>Kuna kitu kinacho patikana kwenye neno la Mungu ni sauti yenye kutoa maelekezo.
=>Mtu haishi kwa maombi bali mtu anaishi kwa neno litokaloa katika kinywa cha Bwana.
Warumi 10:17
“Basi imani, chanzo chake ni…..”
=>Mafanikio ya mtu hayaji kwa kuomba bali kwa kusikia sauti inayotoa maagizo na kushika hayo maagizo.
Kumb la tolati 28:1-4
=>Maombi yana jengwa juu ya msingi nao ni neno la Kristo.
=>Yesu alisema mkinipenda mimi mtalishika neno langu.

No comments:
Post a Comment