FAIDA TANO ZA KUFUNGULIWA KIROHO - MrPeacePaul
FAIDA TANO ZA KUFUNGULIWA KIROHO

FAIDA TANO ZA KUFUNGULIWA KIROHO

Share This
FAIDA TANO ZA KUFUNGULIWA KIROHO
ISAYA  61-1
“Roho ya ya bwana mungu ijuu yangu……”
DALILI  ZA MTU ALIYE FUNGWA
1.Kusikia maumivu ya ambayo hayana solution
2.Inapofika usiku kupoteza amani ,hofu na mashaka pasipo na sababu
3.Mtu anaposhika pesa  haifanyikazi inatawanyika kwa kufanya vitu njee ya mipango
Kanuni ya kutoka kwenye kifungo au vifungo
=>lazima atokee mtu atakaye tangaza uhuru wa mtu aliyefungwa anawe na vigezo vya kutanga uhuru wa mtu na we anaelewa sheria za kkuonesha uhalali wa mtu kufunguliwa (vifingu vya Biblia)  kwasababu mtu alilyefungwa hawezi kutoka mwenye kwenye kifungo
=>kufunguliwa ni:
A) Ni kujua haki yako
B) Ni kujua kweli ya Kristo

FAIDA ZA KUFUNGULIWA
1.Kumjua Mungu unaye mtumikia na kujulikana naye.
Mwanzo 17-1
=>Mtu anapo funguliwa akili za kiroho na mfumo mzima unapofunguliwa anaanza kumjua Mugu na Mungu anamuhamisha kutoka kuwa muumini na kuwa rafiki yake.
=>Biblia inaonesha kuwa kuna wakati hatukumjua Mungu wa kweli na tukadhani tunamtumikia Mungu wa kweli kumbe muingi.
Warumi4:8
Tunakuwa Marafiki na Mungu.
Warumi 5:10
=>Mungu anakuwa nasi kwa kila upande tunamshilikisha naye pia anatushilikisha.
Mwanzo 18:1-10 ,16-33
=>Mahusiano ya mtu na Mungu ya kuwa pale mtu anapofanya kwa uaminifu kwenye nafasi yake.
3.Tunakuwa na nguvu na uwezo wa kushinda majaribu.
=>Majaribu ni njia ya kukua kiroho  na maandalizi ya mtu kuleanako elekea
2Thimotheo 22:1
2Wakoritho 10:13
=>Mtu anapofunguliwa anapata nafasi ya kuinuka tena na Mungu anapomuinia mtu anawapiga adui upofu.
Mfano, samson alipotobolewa macho na kunyolewa nywele Mungu alipomtokea kwa mara ya pili nywele zilianza kuota bali wafilisti hawa kuona nywele zinavyota.
Waamuzi 16:18-22
4.Tunaanza kufikiri kama Mungu avyofikiri.
Wafilipi 2:4
1Wakoritho 4:1
=>Tunawaziwa na Mungu mawazo mema.unapokosea jua kusudi la Mungu juu yako.
=>Jambo lolote linaanza katika akili ndipo linatokea njee.
Tito2:11
5.Kuishi kwa maono/kuishi kwa malengo.
Yohana 13:17
=>Baada ya kufunguliwa anza mazoezi ya kutembea kwenye kile Mungu amesema
=>Kitu cha kuzingatia baada ya kufunguliwa dumu kwenye asili yako  maana mtu akifunguliwa anajitambua yeye ni nani(Wokovu).




No comments:

Post a Comment

Pages