UBATIZO UNAUMUHIMU GANI KWA MTU ALIYE AMINI - MrPeacePaul
UBATIZO UNAUMUHIMU GANI KWA MTU ALIYE AMINI

UBATIZO UNAUMUHIMU GANI KWA MTU ALIYE AMINI

Share This

UBATIZO UNAUMUHIMU GANI KWA MTU ALIYE AMINI
Ubatizo ni nini?
Ubatizo ni  kuvua utuwakale na kuvaa utumpya kwa ukuzamishwa kwenye maji na lika ambata na jina la Yesu.
Ubatizo ni kutoswa yaani kutoswa ndani ya maji.
Matendo 2:36-37
Kubatizwa sio kuondolewa dhambi bali ni kutimiza haki yote.
Mathayo 3:13
Haki ni nini?
Haki ni kuto kuwa na hatia.
Haki mtu anapata kwa njia ya kumkiri yesu kuwa ni bwana na kuamini kwa moyo  kwa maana  kwa moyo mtu huamini na kupata haki.
Warumi 10:9
Warumi 8:1
AINA ZA UBATIZO
1)Ubatizo wa rohoni
2)Ubatizo wa mwili
Mtu aliyeokoka anatakiwa kuwa mnyenyekevu  kama Yesu Kristo alivyo  kuwa duniani.
Wafilipi 2:4-8
Kinyume cha unyenyekevu ni kiburi, Mungu huwapinga wenye kiburi na huwapa wanyenyekevu Neema.
Mtu anayepaswa kubatizwa ni yule aliye jifunza na kuamini.
Marko 16:16
Inatakiwa unapo batizwa ubatizwe kwa jina la Mungu .
Agizo hili tunaliona kwa wale mitume ndio walio agizwa na Yesu.
Mathayo 28:19
Yesu alipokuwa na mwanafunzi wake aliwafundisha jina la Baba,mwana ni nani na Roho mtakatifu ni nani.
Yohana 14:1-11
Tunapata ubatizo sahihi kwa kuona Mitume au Wanafunzi wa Yesu walivyo batiza



Matendo 2:36-39  ,  Matendo 19:1-5 , 1Wakoritho 1:10-12

No comments:

Post a Comment

Pages