NJIA 10 ZA KUBORESHA MAHUSIANO YAKO. - MrPeacePaul
NJIA 10 ZA KUBORESHA MAHUSIANO YAKO.

NJIA 10 ZA KUBORESHA MAHUSIANO YAKO.

Share This

Smiling-Coupleres

WAPENZI WANAPO ZOEANA, INAAMINIKA KUA NI NGUMU KUJIHUSISHA NA MAPENZI KAMA WALIVYOKUA MWANZONI, HIZI NI NJIA 10 ZA KUPINGANA NA HILO.
KUTOMASANA​. Binadamu wanapenda kuguswa, unavyohisi pindi ukiguswa ama ukishikwa, inatengeneza, hali ya utulivu na liwazo. Mapenzi tendo la ndoa, linahitaji wote miili yenu itulie, usiwe na hofu na ukomavu wa ngozi. Inawezekana.

MTOE OUT”.  Mara nyingine mapenzi yako yanafifia kwasababu, umeacha kumhudimia kama mwanzoni. Muombe kumtoa out, hata kama ni mkeo tayari, akiona bado unamjali kama mwanzoni, hii inachochea hisia zake kwako 

JIONGEZE. Huna haja ya kusubiri hadi akwambie kuwa ana hamu ya tendo la ndoa, kama wewe una hamu muanze ama mwambie kabisa ajue, ila ni vizuri kumuanza, maana ukimwambia anaona kama unamuomba, na haitajenga picha nzuri.

MAZUNGUMZO. Kama umetoka kazini, kaeni ongeeni yote, kuanzia asubuhi unatoka hadi ulivyorudi, siku yako iliendaje. Kama una bahati unaweza kuwa unapata usiku mzuri sana, na kesho utaamka mwenye nguvu.

UBUNIFU. Mapenzi ni tendo ambalo linafanya na watu wengi kwa mitindo mbalimbali. Ubunifu huwa una nafasi kubwa sana ya kuleta ushindi, kuwa mbunifu na mwenye mbinu mpya kitandani.

MAANDALIZI.
Kama Unataka kufurahia mapenzi mazuri, basi andaa mazingira ili hata mkiwa mnafanya mapenzi , mnafanya sehemu safi na tulivu, ili kuepuka usumbufu. Ukiwa na maandalizi mpenzi wako lazima atakuthamini na kuheshimu.
.
SHAWISHI.
Mpenzi wako hatoweza kujua unachotaka kama huonyeshi/ hushawishi. Ushawishi ni hatua za mwisho kuonyesha kuwa unataka kufanya mapenzi, mtomase, mpapase, mtekenye, ongelea sikio mwake, mkumbushe sauti zake, macho yako pia yanaweza kukusaidia kuonyesha unachotaka.

WEKA WAZI UVIPENDAVYO.
Kila mtu ana vitu ambavyo aanavipenda, watu wanao kutana kimapenzi mara nyingi hushabihiana machaguo. Mwambie uvipendavyo, huwezi jua.

MTAALAMU.
Mwisho kabisa, kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano, mnaweza kuwaona ili mpate ushauri, sio lhadi mgombane ndio mkamuone, hata kama mnma furaha kati yenu. Hii inajenga ukaribu zaidi.

JIACHIE, KUWA WEWE.
Wengi wanashindwa kudumisha mahusiano kwa sababu, wanajisahau na hawaishi kwenye uhalisia wao, wanaigiza kuwa watu tofauti na ukweli wao, pia wanajibana bana, hawawi huru wakiwa na wapenzi wao.

No comments:

Post a Comment

Pages