1. Utaona mabadiliko katika muonekano wake. Ukitaka kumfahamu msichana ambaye yupo katika mapenzi kama alikuwa hajipendi pendi kwa maana kuwa rafu hata akiwa katika mazingira ya nyumbani basi katika kipindi hiki atakuwa msafi kuanzia nguo, nywele ataweka kila staili itakayompendeza atafanya kila kitu ili kukuvutia.
2. Anajali kama mwanamke anakupenda atakujali hatopenda kuwa mbali na wewe kama atagundua upo katika tatizo. Atakufanya ufahamu yupo kwa ajili yako pale utakapomhitaji.
3. Anajitoa kwa ajili yako. Atachukua muda wake hata wa maana kuwa na wewe atafanya vitu ambavyo unavipenda na kuviacha vya kwake pale inapobidi
4. Huwa muwazi kwa kila anachokifanya nini anapanga kufanya na nani anakutana naye kwa wakati gani.
5. Wewe ni mvulana pekee anayetazamia uje kuwa mume wake anazungumzia mambo mengi kuhusu maisha ya baadaye kama vile ndoa watoto wangapi mzae pamoja na familia tenu iwe vipi
6. Anapenda kuwa na wewe muda mwingi. Msichana mwenye mapenzi hufanya haraka kumaliza ubusy wake ili asipoteze muda mwingi akashindwa kukuona tena kwa siku hiyo. Anaweza kuacha hata shughuli zake ili aje kukaa na wewe hata kama mkutano wenu hauna maana na faida kwake.
7. Anakushika kwa hisia
msichana mwenye mapenzi huwa na hisia ndio maana hupenda kushijka kila sehemu yako ya mwili kwa hisia za kweli akijitaji na wewe uhisi anachohisi kupitia mguso wake.
msichana mwenye mapenzi huwa na hisia ndio maana hupenda kushijka kila sehemu yako ya mwili kwa hisia za kweli akijitaji na wewe uhisi anachohisi kupitia mguso wake.
8. Atakutambulisha kwa ndugu jamaa na rafiki zake hupenda kila mtu wake wa karibu akufahamu hivyo hupenda kukutambulisha kwa kila mtu haoni aibu kufanya hivyo kwa kuwa anatarajia utakuwa wake wa kudumu
Kazi nzuri kabisa kaka. Heko kwa kusanua jamii
ReplyDelete