MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume - MrPeacePaul
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume

MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume

Share This

Vichekesho MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake ikawa hivi...

kichekesho: "MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake…bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.\nKuna jamaa akatoa 500/=.\nMCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.\nMCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji.\n\n😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆"

No comments:

Post a Comment

Pages